Thursday, June 25, 2015

FAHAMU KUHUSU BIMA INAVYOFANYA KAZI NA FAIDA ZAKE.

MAANA YA BIMA

Bima Ni Mfumo Ambapo Kampuni Ya Bima Au Serikari Inagaratee Kufidia Hasara Fulani,Maharibiko,Ugonjwa Au Kifo Kwa Malipo Ya Kiwango Maalumu Cha Fedha Kinachoitwa "Premium"

  Ni makubaliano ambapo mtu anafanya malipo ya ada ya bima kwa kampuni ya bima ambayo nayo inaahidi kumlipa fidia ya fedha (financial compensation), anapoumia au kufa, au kumlipa fedha sawa na thaman ya mahalibiko ya mali yake kama vile nyumba,gari , au inpopotea au kuibiwa mali.

Kwa watu kuungana pamoja (pooling risk), kwa nia ya kujikinga na majanga fulan (moto,wizi,ajari nk,) wanaweza kufidiwa (indemnify),kutoka katika premium walizolipa (common pool)  ,kwa yeyote baina yao mwenye kupata hasara kutokana na majanga hayo.Kwa namna hii wanakuwa wamejikinga na hasara inayoweza kutokea kutokana na majanga kwa mfumo wa bima.



Endelea Kufuatilia Blog Hii Hili Kujua Zaidi Kuhusiana Na Bima




Unknown

Author & Editor

Masika ni mtaalamu wa masuala ya uhasibu kutoka katika chuo cha TIA.

0 comments:

Post a Comment